The Chant of Savant

Thursday 10 February 2011

Linganisha Michelle Obama na wake wa wafadhiliwa



Angalia hiyo mipete kama ya wanganga wa kienyeji



Linganisha na wafadhili wanaochangia pesa anayochezea


Hakuna ubishi kuwa wake za marais wa nchi maskini za kiafrika, ukiacha kumung'unya maneno waweza kuwaita malimbukeni na waroho hakuna mfano.
Wakitoka wamejaza midhahabu na madude mengine ya bei mbaya ilhali wale wanaowafuga sorry kuwafadhili wakivaa nguo na kuishi maisha ya kawaida huku wanaowawezesha kwa kodi zao wanaendelea kukondeana na kuwa maskini.

Kama mke wa rais wa Marekani angekuwa na roho mbaya na ulimbukeni kama huu angevaa tani za vipuri ikilinganishwa na kipato chake na mumewe na uchumi wa nchi yake? Lakini maskini soma stori hii uone tunavyoweza kuwa wa hovyo tusijue. Hebu linganisha picha hizi uamue mwenyewe kabla ya kuja na hitimisho la ulimbukeni na wenye roho mbaya hakuna mfano.


In her first-ever morning show appearance, First Lady Michelle Obama appeared on the "Today" show to talk to Matt Lauer about a number of issues, including President Obama's job performance and the fact that he quit smoking. She also dispelled rumors that the President dyes his grey hair.

She wore a $34.95 H&M printed dress (her stylist added the 3/4-length sleeves) with a pretty ruffled neckline and cinched it at the waist with a wide orange leather belt and canary yellow kitten heel pumps. Mrs. Obama exudes ease and confidence in the sweet feminine dress with bold accessories.

Wonder if this is a cheeky little statement she's making after taking so much heat for wearing a gown made by the late British designer Alexander McQueen to the White House state dinner, instead of an American designer...

Chanzo: Internet

1 comment:

Anonymous said...

acha roho mbaya kaka. i am sure dada zako, mama zako, wake zako as long as ni waafrika pia wanavaa hayo hayo madhahabu. it an african thing! halafu usimpangie mtu jinsi ya kuvaa!! kwani ni ela yako au kakuibia?