The Chant of Savant

Thursday 10 May 2012

Hivi serikali inayofanya haya bado ina uhalali?


Ingawa si mara ya kwanza kuona picha za kutisha zitokanazo na unyama wa serikali, picha hiyo hapo juu inatisha. Serikali ya Syria imekuwa ikiwapiga mabomu wananchi wasio na hatia kwenye maeneo inayoona yana upinzani. Hii imetukumbusha yaliyotokea Arusha siku si nyingi serikali ya CCM ilipotekeleza mauaji ya watu wasio na hatia. Je serikali ya namna hii bado ina uhalali wa kuwa madarakani huku ikiendelea kuua inaopaswa kuwalinda? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: