The Chant of Savant

Monday 21 May 2012

Huyu ni tamaa, njaa, kichaa au ?

NNilianza kusikia habari za mzee Kingunge Ngombale Mwiru nikiwa shule ya msingi. Kwa sasa mwanangu wa kwanza ndiyo anakwenda chuo kikuu. Kila siku nasikia Kingunge. Huyu mzee atacheza lini na wajukuu zake? Je hakubaliana na ukweli kuwa muda wake umekwisha? Alioanza nao kazi wengi walikwisha kustaafu au kufariki. Je mzee kama huyu ana jipya gani zaidi ya kuzidi kutuchanganya? Tafakarini.  Kingunge staafu basi.

No comments: