The Chant of Savant

Sunday 20 May 2012

Kikwete na Salma wana vituko


  • Utajisikiaje kugundua kuwa bi au bw mkubwa kamechisha na mtu mwingine? Hatutaki kusema mengi. Picha hiyo inasema yote. Je mantiki ni nini? Ni kutojua, kujipendekeza au ajali tu? Mh! Nini mantiki ya kuwa na washauri wanaolipwa kodi zetu  hata kama wanashindwa kumshauri jamaa kuhusu vivazi? Mie simo.

No comments: