The Chant of Savant

Monday 7 May 2012

King'ang'anizi Putin arejea ikulu Urusi


Ingawa nchi kubwa na tajiri kama Urusi hudhaniwa kuwa haziwezi kuchezewa, Vladimir Putin rais wa zamani wa Urusi ambaye aliapishwa tena hivi karibuni kuwa rais baada ya kuwa waziri mkuu amefanikiwa kuichezea. Ingekuwa nchi changa alichofanya Putin ima kingefanikiwa kutokana na kulinda maslahi ya nchi za Magharibi kama wanavyofanya akina Yoweri Museveni au angelaaniwa. Kwa habari zaidi soma hapa.

No comments: