The Chant of Savant

Tuesday 15 May 2012

Mwakozi anaposhindwa kujiokoa


Image courtesy YouTube


Mbwa aitwaye Lilly alimuokoa aliyekuwa akimfuga mama ajulikanaye kama Christine Spain, 54 baada ya kuzimia ghafla kwenye reli. Baada ya mbwa kuona bwana wake haamki aliamua kumvuta kando ya reli hukoShirley, Massachusetts nchini Marekani. Pamoja na kitendo hiki cha aina yake, Lilly hakuweza kujiokoa pale treni ilipokuja na kumgonga na kumjeruhi vibaya. Hata hivyo habari njema ni kwamba huyu mbwa aliokolewa na kutibiwa. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: