The Chant of Savant

Saturday 11 August 2012

Kikwete kwa vituko hakuna mfano

Wakati mananasi nchini Tanzania yanaoza na kuuzwa kwa bei ya kutupa kutokana na serikali kutowawezesha wakulima kupata soko na bei nzuri, rais wao anachekelea vya wenzake kama anavyoonekana kwenye shamba moja nchini Ghana alipokwenda kuzika na baadaye kutalii. Kinachopaswa kumsuta ni ukweli kwamba wakati akifurahia maendeleo yaliyofikiwa na wakulima wa mananasi wa Ghana, ni ukweli kuwa jimboni mwake pale Chalinze wakulima wanaendelea kuwa maskini pamoja na kuzalisha mananasi kwa wingi. Hakina aliyempangia kutembelea shamba hili amejua kumstuka Kikwete. Sijui kama ameipata au ni yale yale ya kujifanya huwa hasikii wala hajali.


3 comments:

Anonymous said...

asante rais wetu ukirudi njo na hao matajiri wa mashamba ya mananasi.
yaani ghana wenye mashamba ya mananasi ni matajiri"KASUMBA"
bANGI BWANA SAA NYENGINE inaweza kukupeleka mahala mbali sana.
ikawa hufikiri kitu cha "maana kwa jamii"
hata uwe msomi vp Elimu yako inaenda kwenye debe la taka ikiwa huitumii ipasavyo wewe na bangi na bangi na wewe kata nakupigia

Anonymous said...

Bwana Michuzi naona kibarua chako unakiweza.

anjela said...

nchi imemshinda huyo mjinga afanyeje sasa! eti kapanda ndege hadi ghana kuzika kweli watanzania hapa tuliingia choo cha kike