The Chant of Savant

Tuesday 20 November 2012

Hatimaye Mr Bean atangaza kuachana na uigizaji

Gwiji wa vichekesho wa Uingereza Rowan Atinkson or Mr Bean hivi karibuni ataachana na uchekeshaji ili kuanza kuishi kama mtu wa umri wake. Kinachosikitisha ni kwamba kuigiza mambo ya kitoto na kiutani sana kumemfanya akose hata mbinu ya kuwatokea akina mama kiasi cha kuishi na dubu. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa

No comments: