The Chant of Savant

Tuesday 17 December 2013

Unaweza kugawa dola 40,000,000?


Jamaa mmoja wa Calgary hapa Kanada, Tom Crist (pichani) amefanya kilichowastua wengi hata mabilionea. Ameshinda kamari ya dola milioni arobaini na kuamua kuitoa kama mchango kwa mashirika ya kibinadamu. Alisema wazi kuwa hahitaji hiyo pesa zaidi ya wale wanaoihitaji. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

2 comments:

Anonymous said...

Hili swali Bwana NN, linawafaha viongozi wa kiafrika zaidi...Maana wanajua hizo fedha za walipa kodi wanazozirudisha(wanazotorosha) kwenda nchi zilizoendelea.

Na kuziweka katika akaunti zao binafsi wakijiona pia wanaukwasi kwa ujinga wao wa kujitambua kwamba wao ni binadamu ambao wanatakiwa kufikiri na kutambua pia.

Wanafikiri pekee ni wanyama na siyo binadamu hivyo iwapo Binadamu anafikiri tuu bila kuwa na kigezo cha kutambua.

Basi huyo ni mnyma akama wananyama wengine tunaowaona. Mithili ya umbwa koko anyetafuta chakula majalalani au fisi anayekula mizoga

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon hii kali. Watawala wetu tena wapate pesa kama hiyo kihalali wagawe wakati wenye kustahiki kuwa nazo ni wao? Hata hivyo watawala wetu hujua kuwa wanakufa siku yanapowafika mauti nadhani wengi hufa kwa sononeko God knows. Sijui kibaka kama Mobutu au Abacha alikufa kwa machungu kiasi gani.