The Chant of Savant

Tuesday 20 October 2015

Je Amani ni pale Lowassa anapokuwa na tonge akinyang'anywa si amani tena


2 comments:

Anonymous said...

Watanzania watafanya makosa ya karne ikiwa watamchagua mgojwa kwenda ikulu muwongo na hafai
tunataka mabadiliko lakini sio kupitia c.c.m B

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon naungana nawe kuwa yatakuwa ni makosa makubwa kumchagua fisadi aliyeishiwa. Ni vizuri wakatafakari vizuri maana rais si rafiki wala mshirika wa muda mfupi ni sawa na ndoa.